iqna

IQNA

shirika la wakfu
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Toleo la 40 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, moja ya matukio ya kifahari na bora zaidi ya Qur'ani duniani, lilianza Jumamosi mjini Tehran kwa duru ya awali ya mchujo.
Habari ID: 3478120    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Hatua ya awali ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itaanza wikendi hii.
Habari ID: 3478095    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/26

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Idadi ya nchi zinazotarajiwa kushiriki katika toleo lijalo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ni zaidi ya 90, imedokezwa.
Habari ID: 3477801    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Mchakato wa tathmini katika duru ya mchujo ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilihitimishwa Jumanne.
Habari ID: 3476425    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18